Header Ads Widget

TAZAMA PICHA MWENYEKITI CHAMA CHA TLP AUGUSTINO LYATONGA MREMA AKIWA NA MKEWE KANISANI KATIKA IBADA YA KUFUNGA NDOA

Mwenyekiti wa Chama cha TLP Agustino Lyatonga Mrema akiwa na Mkewe katika ibada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa Katoliki Parokia ya Uwomboni Kijiji cha Kiraracha.
 
Aidha, Mwenyekiti huyo  amesema familia ya mke wake ilimtaka alipie mahari ya Sh4.2 milioni ambapo hadi sasa ameweza kulipa Sh1 milioni.

Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, kuwa mbunge na kugombea urasi wa Tanzania, leo Alhamisi Machi 24, 2022 anafunga tena ndoa baada ya mke wake kufariki mwaka jana.

Mrema amesema aliwatuma wazee kwa familia ya mke wake mtarajiwa na kutakiwa kulipa kiasi hicho cha mahari. 
 
SOMA ZAIDI HAPA ;CHANZO MWANANCHI.
TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807