Header Ads Widget

WIZARA YAELEZA UNDANI SAKATA LA KIWANDA CHA PUNDA CHA FANG HUA, YATOA MAELEKEZO KWA MWEKEZAJI


Sehemu ya Punda 2,000 walioletwa na wafanyabaishara kutoka maeneo mbalimbali nchini ili kukiuzia kiwanda cha machinjio ya nyama ya Punda cha Fanghua cha mjini Shinyanga, lakini wameshindwa kununuliwa baada ya kiwanda hicho kusistisha uzalishaji (Shinyanga Press Club Blog, Desemba 10, 2020).TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807