Header Ads Widget

KAMATI YAANIKA VIKOSI YANGA, SIMBA FAINALI LEO, MASTAA KIBAO KUKOSEKANA


Kamati ya Fainali za Mapinduzi Cup imesema kuwa ni wachezaji 20 tu wa vilabu vya Simba na Yanga ambao wanaoruhusiwa kucheza fainali ya Mapinduzi Cup leo majina hayo ni yale ambayo yalitumwa kabla ya kuanza kwa mashindano.

Wachezaji 20 wa Vilabu vya Simba na Yanga ambao wanaruhusiwa leo kucheza mchezo wa fainali ya mapinduzi Cup leo kuanzia majira ya saa 2:15 usiku kwenye uwanja wa Aman Visiwani Zanzibar ni kama ifuatavyo.


Yanga Sc

Magolikipa
1-Metacha Mnata
2-Farouk Shikhalo
3-Ramadhani Kabwili

Mabeki
4-Paul Godfrey
5-Kibwana Shomary
6-Adeyun Saleh
7-Said Juma Makapu
8-Abdalah Shaibu Ninja

Viungo
9-Mukoko Tonombe
10-Zawadi Mauya
11-Haruna Niyonzima
12-Omary Chibanda
13-Arafat Hussein
14-Carlos Carlinhos

Winga
15-Tuisila Kisinda
16-Abdkarim Yunus

Washambuliaji
17-Saido Ntibazonkiza
18-Wazir Junior
19-Yaccouba Sogne
20-Michael Sarpong

Simba SC

Magolikipa
1-Beno Kakolanya
2-Ally Salim

Mabeki
3-David Kameta Duchu
4-Mohamed Hussein
5-Gadiel Michael
6-Kennedy Juma
7-Joash Onyango
8-Kelvin Moyo
9-Bernard Agele Coulibaly

Viungo
10-Taddeo Lwanga
11-Mzamiru Yassin
12-Hassan Dilunga
13-Francis Kahata

Winga
14-Bernard Morrison
15-Miraj Athumani
16-Ian Nyoni

Washambuliaji
17-Ibrahim Ajibu
18-Cyprian Kipenye
19-Meddie Kagere
20-Chris Mugalu.
TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807