
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu akipiga kura leo Oktoba 28, 2020 mkoani Singida

Tundu Lissu akionyesha kidole kilichopakwa rangi baada ya kupiga kura leo

Lissu akipiga kura katika Kituo cha Ntewa A, Shule ya Msingi Ntewa, Kata ya Ntuntu, Ikungi, Mkoani Singida.


Akikagua jina lake kabla ya kupiga kura
