Header Ads Widget

PICHA: TUNDU LISSU, CHADEMA WATIKISA FURAHISHA-MWANZA


Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu


Picha Mbalimbali zikionyesha sehemu ya Wakazi wa Jiji la Mwanza wakiwa wamekusanyika kwa wingi kusikiliza sera katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza katika ufunguzi wa Kampeni za uchaguzi za chama cha CHADEMA katika mkoa huo.

Ambapo viongozi wakuu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti Freeman MBOWE na Mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho, Tundu Lissu walikuwepo.
Chanzo: Clouds TV