Header Ads Widget

TAKUKURU YAOKOA NA KUZIREJESHA SH 16,585,443 ZA SACCOS YA VIJANA NA MWALIMU MSTAAFU


Kaimu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga, Dk. Sharifa Bungala

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  (TAKUKURU) mkoa wa Tanga imefanikiwa kuokoa kiasi cha fedha Sh 16,585,443 kutoka wilaya ya Pangani ambazo zimekabidhiwa kwa wahusika ambao ni Saccos ya Umoja wa Vijana Pangani (UVIPASA) ambayo ni Sh 12,185,443 na Mwalimu Mstaafu, Hatibu Fue Mkanza amekabidhiwa Sh 4,400,000 zilizotokana na mkopo umiza.

Soma zaidi taarifa ya Takukuru mkoa wa Tanga iliyotolewa kwa vyombo vya habari Septemba 9, 2020 na Kaimu Mkuu wa taasisi hiyo, Dk. Sharifa Bungala