Header Ads Widget

PICHA: MO DEWJI, DIAMOND PLATINUMZ NA MANARA WALIVYOINOGESHA SIMBA DAY


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji akishiriki kutoa burudani kwenye jukwaa pamoja na Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz kwenye tamasha la SIMBA DAY leo katika uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.Mo Dewji akisakata burudani

Helikopta iliyowabeba Diamond Platinumz na Haji Manara ikiwa inazunguka uwanja wa Mkapa kabla ya kutua

 Mashabiki wa Klabu ya Simba waliojitokeza kuipa sapoti timu yao kwenye tamasha la SIMBA DAY

Wachezaji wa timu hiyo wakifanya mazoezi kabla ya kuanza mchezo 

 Msanii Diamond Platinumz akitoa burudani 

 Msafara wa Dimaond Platinumz na Haji Manara ukiteremka kwenye Helikopta katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam kwenye tamasha la SIMBA DAY

 Mchezaji Shomari Kapombe akipasha misuli kabla ya mchezo

 Helikopta ikitua uwanjani hapo

 Madencer wa Diamond Platinumz wakitoa burudani kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani 

Dimaond Platinumz na wanenguaji wake wakitoa burudani kwa mashabiki
Picha  kwa hisani ya Simba SC Tanzania