Header Ads Widget

PICHA: DK. JINGU AKITEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII UFUNDI MISUNGWIKatibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu (mwenye miwani) akitoa tofali alilotengeneza wakati alipotembelea kukagua mafunzo yatolewayo na Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi Mwanza.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu (mwenye miwani) akiangalia kifaa cha kupimia umbali kinachotumiwa na wakandarasi katika ujenzi wa barabara wakati alipotembelea Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi Mwanza.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu (mwenye miwani) akimuangalia mmoja wa wananfunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi akifanya mazoezi kwa vitendo namna ya kushindilia barabara wakati alipotembelea Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi Mwanza.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu (mwenye miwani) akioneshwa namna ya kutengenza renta ya jengo wakati alipotembelea kukagua mafunzo yatolewayo na Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi Mwanza.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu (mwenye miwani) akioneshwa namna ya kutengenza vigae na Mwanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi wakati alipotembelea Chuoni hao kukagua mafunzo yanayotolewa.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu (mwenye miwani) akizungumza na wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi alipokitembelea Chuo hicho kujionea namana kinavyotoa mafunzo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu (mwenye miwani) akiangalia Kituo cha Ubunifu cha Kidigitali kilichopo katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi alipofanya ziara Chuoni hapo

Picha zote na KItengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW