Header Ads Widget

YANGA YAKANUSHA TAARIFA ZA DK. MSHINDO MSOLLA KUJIUZULU

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dk. Mshindo Msolla

Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam imetoa taarifa juu ya uwepo wa uvumi na tetesi za Mwenyekiti wa timu hiyo, Dk. Mshindo Msolla kujiuzulu.