SENETI MKOA WA IRINGA WAFANYA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI YA URATIBU
Wednesday, September 02, 2026
Mwenyekiti wa Seneti Mkoa wa Iringa Joseph Masaniro George, Ameongoza Kikao Maalumu cha Kamati ya Uratibu Seneti Mkoa wa Iringa, Kilichofanyika tarehe 01 Septemba 2026 , Ukumbi wa Nyerere Ofisi za CCM mkoa Wa Iringa kikao chenye lengo la Kujadili Masuala Mbalimbali yanayohusu Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndani ya Mkoa wa Iringa.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464