` AJIRA IKO KWENYE UJUZI: JIUNGE SHINYANGA EARLYTECH INTERNATIONAL COLLEGE LEO

AJIRA IKO KWENYE UJUZI: JIUNGE SHINYANGA EARLYTECH INTERNATIONAL COLLEGE LEO

 

🔔SHINYANGA EARLYTECH INTERNATIONAL COLLEGE INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO YA UFUNDI STADI MWAKA 2026

Chuo kinapokea wanafunzi kwa kozi za ufundi stadi zinazodumu kwa miezi sita (6), ambazo ni:

✔️ Ushonaji wa Nguo na Mitindo
✔️ Mapambo (Decoration)
✔️ Ususi na Mitindo ya Nywele (Hairdressing)
✔️ Kompyuta kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne
✔️ Masomo ya Sekondari kwa mfumo wa Miaka Miwili bila malipo

🔹 Pia Tunapokea Wanafunzi wa:

✔️ Kozi za ICT ngazi ya Level I, II na III
✔️ Udereva wa Magari, Bajaji na Pikipiki

Masomo Yataanza: Januari 13, 2026

📍 Mahali: Shinyanga – Barabara ya Old Shinyanga, Nyuma ya Kom Sekondari
📞 Mawasiliano: 0741 098 863

✨ Karibu SEIC – Karibu katika Ulimwengu wa teknolojia!

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464