Na Marco Maduhu,SHINYANGA
Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha ACT-Wazalendo Emmanuel Ntobi, alivyoshiriki kupiga kura katika Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Alipiga kura katika kituo cha Magadula B kilichopo Kata ya Ngokolo.
Oktoba 29,2025 ilikuwa ni siku ya Uchaguzi Mkuu kwa wananchi kupiga kura na kuwachagua Madiwani,Wabunge na Rais ambao watawaongoza kwa kipindi cha miaka mitano 2025-2030.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464





