TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAGOMBEA WA CCM WA NAFASI ZA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI ZA WILAYA
Tarehe: 30 Novemba 2025
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga unawataarifu wanachama, wadau na wananchi wote kuwa Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Ndugu Kenan Laban Kihongosi, ametangaza rasmi majina ya wagombea wa CCM waliopitishwa kuwania nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa, pamoja na Wenyeviti wa Halmashauri za Wilaya kwa Mkoa wa Shinyanga.
Uteuzi huu umetokana na Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Zanzibar tarehe 29 Novemba 2025, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
1. MANISPAA
1. Manispaa ya Shinyanga
2. Reuben Nonga KITINYA
3. Salum Shaban KITUMBO
4. Ezekiel John SABO
Manispaa ya Kahama
1. Mataluma Kanuda KANIKI
2. Yahya Ramadhan BUNDALA
3. Abelo Juma MABAO
2. HALMASHAURI ZA WILAYA
1. Wilaya ya Shinyanga Vijijini
2. Seth Anthony MSANGWA
3. Jumanne Rajabu ITUNGU
2. Lydia Winga PIUS
Wilaya ya Msalala
1. Mibako Lugalila MABUBU
2. John Mtwana MAHONA
Wilaya ya Ushetu
1. Gagi Lala GAGI
Wilaya ya Kishapu
1. Hamza Yusuph TANDIKO
2. Josephat Limbe EMMANUEL
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MALUNDE1BLOG
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464
