SHULE YA MSINGI SUMBIGU KATIKA JIMBO JIPYA LA ITWANGI YAFANYA VIZURI MATOKEO DARASA LA SABA AZZA HILLAL HAMAD AIPONGEZA
Thursday, November 06, 2025
Shule ya Msingi Sumbigu iliyopo Kata ya Bukene wilayani Shinyanga katika Jimbo jipya la Itwangi imefanya vizuri kwenye matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2025, kwa wanafunzi wake kupata ufaulu wa daraja "A" na "B"
Mbunge Mteule wa Jimbo Jipya la Itwangi Azza Hillal Hamad aipongeza kufanya vizuri.