` SHULE YA MSINGI MASUNULA KATIKA JIMBO JIPYA LA ITWANGI YANG'ARA KITAIFA MATOKEO DARASA LA SABA WANAFUNZI WOTE WAMEPATA DARAJA "A"

SHULE YA MSINGI MASUNULA KATIKA JIMBO JIPYA LA ITWANGI YANG'ARA KITAIFA MATOKEO DARASA LA SABA WANAFUNZI WOTE WAMEPATA DARAJA "A"

SHULE YA MSINGI MASUNULA KATIKA JIMBO JIPYA LA ITWANGI YANG'ARA KITAIFA MATOKEO DARASA LA SABA WANAFUNZI WOTE WAMEPATA DARAJA "A"
Shule ya Msingi Masunula iliyopo Kata ya Usule wilayani Shinyanga katika Jimbo Jipya la Itwangi, imefanya vizuri katika matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2025, kwa wanafunzi wake wote kupata ufaulu wa juu wa daraja "A".

 Mbunge Mteule wa Jimbo la Itwangi kupitia CCM Azza Hillal Hamad akiipongeza kwa kufanya vizuri,huku akiomba shule zote za jimbo hilo ziendelee kufanya vizuri kwa kufaulisha wanafunzi na kutimiza ndoto zao.






Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464