ZUNGU SPIKA MPYA WA BUNGE LA TANZANIA
Mhe Mussa Azzan Zungu ashinda Kiti cha Spika wa Bunge la Tanzania
1. Kura zilizopigwa – 364
2. Kura zilizoharibika – 0
MATOKEO.
1. Mhe. Masele – 16
2. Mhe Zungu – 348
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464