` SHULE YA AWALI NA MSINGI OLA YANG'ARA MATOKEO DARASA LA 7 WANAFUNZI WOTE WAMEPATA UFAULU WA JUU

SHULE YA AWALI NA MSINGI OLA YANG'ARA MATOKEO DARASA LA 7 WANAFUNZI WOTE WAMEPATA UFAULU WA JUU


Shule ya Awali na Msingi OLA iliyopo Didia wilayani Shinyanga katika Jimbo jipya la Itwangi imefanya vizuri matokeo ya Mtihani wa Taifa Darasa la 7 ,2025 kwa wanafunzi wake wote kupata ufaulu wa juu.

Mbunge Mteule wa Jimbo Jipya la Itwangi kupitia CCM Azza Hillal Hamad aipongeza kwa kufanya vizuri kitaaluma.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464