` HATUA ALIYOCHUKUA BIBI YANGU SASA NA ENJOY UNYUMBA

HATUA ALIYOCHUKUA BIBI YANGU SASA NA ENJOY UNYUMBA


Jina langu ni Benard kutoka Nakuru, na kwa muda mrefu nilikuwa nimechoshwa na ndoa yangu. Nilimpenda mke wangu Caroline, lakini tulikuwa tumeanza kupoteza ule ukaribu wa kimapenzi. Tendo la ndoa lilikuwa limejaa baridi, halikuwa na ule utelezi wa zamani, na kila mara nilijikuta nikitafuta sababu za kuchelewa kurudi nyumbani. Nilihisi kama nimeolewa kwa rafiki, si mke.

Nilijaribu kuzungumza naye, lakini kila mara alihisi kama namkosoa. Niliona uchovu usoni mwake, na hata tabasamu lake lilipotea. Nilianza kufikiria mambo ya pembeni, kitu ambacho sikuwahi kukipenda, lakini mwili wangu ulikuwa unanituma kutafuta sehemu nyingine za kuridhika.

Siku moja, mama yangu mzazi alitugundua tukiishi kwa ukavu wa kihisia. Alikaa naye kimya kimya, na baada ya siku chache, nilianza kuona mabadiliko yasiyo ya kawaida. Caroline alianza kunionyesha upendo kwa njia ambazo nilikuwa nimezisahau. Alianza kuvaa vizuri, kunitunza, na hata kuonyesha ule moto nilioukosa kwa muda mrefu.



Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464