` SHINYANGA SHIKAMOO MKUTANO WA KAMPENI WA MGOMBEA URAIS,RAIS DK.SAMIA SULUHU HASSAN

SHINYANGA SHIKAMOO MKUTANO WA KAMPENI WA MGOMBEA URAIS,RAIS DK.SAMIA SULUHU HASSAN

Na Marco Maduhu,SHINYANGA

WANANCHI wa Mkoa wa Shinyanga wamefurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapindizi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kusikiliza sera na ilani ya CCM, na mikakati ya maendeleo ambayo atawaletea kwa kipindi cha miaka mingine mitano ijayo.

Hamasa hii ilifanywa na viongozi wa CCM,wakiwamo Wagombea Udiwani na Ubunge pamoja na Mbunge Mwenyeji wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464