` MATUKIO YANAYOENDELEA UZINDUZI KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA SOLWA

MATUKIO YANAYOENDELEA UZINDUZI KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA SOLWA


Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Jimbo la Solwa Mhe. Ahmed Ally Salum, leo Septemba 15, 2025 anazindua rasmi kampeni zake katika Mkutano mkubwa wa hadhara unaofanyika Lyamidati, wilayani Shinyanga.


Endelea kufuatilia hapa matukio yanayoendelea

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464