Na Marco Maduhu,SHINYANGA
WANANCHI wa Shinyanga wakiendelea kujitokeza kupata huduma za uchunguzi na matibabu ya Moyo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo, kutoka kwa Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).
Madaktari hao wamepiga Kambi mkoani Shinyanga, na huduma zimeanza kutolewa Jana ambazo zitakwenda hadi Agost 22,2025.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464