MTOTO ambaye aliyekuwa amepotea Christopher Dennis Numi, amepatikana akiwa na Afya Njema, ambapo Familia yake inawashukuru wadau wote kwa maombi na ushirikiano kwa kufanikisha Jambo la kumpata Mtoto wao.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464