
Njia ya kuongeza mauzo katika biashara iliyowasaidia wengi
Kwa jina naitwa Grace nilikua nafanya biashara ya kuuza matunda katika ya mji, hii biashara nilikua naipenda kupita maelezo kwa sababu ilikuwa inanipatia kipato kikubwa sana wakati huo nikiwa mwanafunzi.

Siku moja nilikutana na rafiki yangu akaniambia kwa nini unafanya biashara hiyo, akanishauri tufanye biashara ya nguo kweli nikaacha kufanya ile biashara ile nikaambatana na rafiki yangu.