WAZIRI ACHUKUA NA KUREJESHA FOMU UDIWANI KATA YA MWAKITOLYO
XXXX
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Leonard Waziri,amechukua na kurudisha Fomu ya kuomba Ridhaa ya Chama Chake,kimteuwe agombee udiwani Kata Kata ya Mwakitolyo.
Amesema kwa sasa hana mambo mengi ya kuzungumza,kwamba akishapata ridhaa hiyo, ndipo atazungumza mambo mengi, ambavyo atawaletea maendeleo wananchi wa Mwakitolyo.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464