` NILIVYOSOTA KUSAKA KAZI YA UDAKTARI HADI NILIPOKUJA KUPATA MWANGA

NILIVYOSOTA KUSAKA KAZI YA UDAKTARI HADI NILIPOKUJA KUPATA MWANGA



Nilivyosota kusaka kazi ya Udaktari hadi nilipokuja kupata mwanga


Nilijitahidi mno kutia bidii katika masomo tangia nipo shule ya msingi ili niweze kujiunga na shule ya upili ya ndoto zangu ambayo ni mmoja wapo wa shule za kitaifa iliyopo Nairobi nchini Kenya.
Ndoto yangu ilikuwa kuwa daktari wa ubongo ambayo ndiyo taaluma niliyosomea Chuo Kikuu, nikiwa shule ya upili nilijitahidi hadi baada ya miaka minne nikahitimu na kupata alama nzuri zilizoniwezesha kusonga mbele.

Baada ya kuhitimu Chuo, mtalaa ulinihitaji kwenda katika mafunzo ya vitedo kwa muda wa mwaka mmoja, nilifanya hivyo na baada ya muda nilianza kutafuta kazi.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464