` MCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU KUCHUANA NA BASHE

MCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU KUCHUANA NA BASHE


Na G. KAKURU

MCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU KUCHUANA NA BASHE

Peter Mashili ambaye ni Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa madini ya dhahabu mkoa wa Tabora, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kupata nafasi kugombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini kumkabili Hussein Bashe ambaye ndiye Mbunge wa Jimbo hilo anayemaliza muda wake kwa awamu hii.

Peter Mashili hii ni mara yake ya pili kunitosa kuomba ridhaa ndani ya chama chake ambapo awamu ya kwanza ilikuwa mwaka 2020.


 

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464