` KISA NILIKUWA SINA NGUVU KILA MWANAMKE ALINIACHA

KISA NILIKUWA SINA NGUVU KILA MWANAMKE ALINIACHA


Kisa nilikuwa sina nguvu,kila mwanamke aliniacha

Ukweli ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa.

Mathalani kuna mtu kila bishara anayofungua haiwezi kufikisha mwaka mmoja, mwingine kila gari analonunua lazima liibiwe, mwingine kila mtoto anayempeleka shule anafeli.



Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464