Na Suzy Butondo, Shinyanga
FELISTA JOSEPH ENDREW achukua fomu ya kuwania Udiwani Kata ya Ngokolo katika wilaya ya Shinyanga mjini
FELISTA JOSEPH ENDREW amechukua fomu leo june 30 katika ofisi ya kata ya Ngokolo wilaya ya Shinyanga mjini
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464