
Magazeti





Written by mzalendoeditor
aa







Nilizika Mimba Tatu Bila Maelezo Lakini Baada ya Tiba ya Kiroho, Sasa Nimeshika Mimba Yangu ya Kwanza kwa Amani
Kila mwanamke mwenye ndoto ya kuwa mama anajua uchungu wa kuiona mistari miwili ya ujauzito, kisha wiki chache baadaye, damu inaanza kutoka.
Nilipitia hilo mara tatu. Mara ya kwanza nilifikiri ni bahati mbaya. Mara ya pili nikaambiwa na daktari labda mimba hazishikiki kwa sababu ya homoni. Mara ya tatu, nililia hadi sauti ikanikata. Nilijifungia ndani siku tatu bila kula.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464