MHANDISI JAMES JUMBE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SHINYANGA MJINI
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
Mhandisi James Jumbe Wiswa amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM).
Amechukua Fomu hiyo leo Juni 28,2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Shinyanga.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464