` JACKLINE ISARO AJITOSA UDIWANI KATA YA NGOKOLO

JACKLINE ISARO AJITOSA UDIWANI KATA YA NGOKOLO

Na Marco Maduhu,SHINYANGA

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Jackline Isaro, amechukua Fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo.

Amechukua fomu hiyo leo Juni 28,2025 katika Ofisi za CCM Kata ya Ngokolo.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464