` JE UNASUMBUKA KUPATA AJIRA,TUMIA NJIA HII

JE UNASUMBUKA KUPATA AJIRA,TUMIA NJIA HII



Je, unasumbuka kupata ajira?, tumia njia hii upate ushindi

Kila mtu huwa na kazi ambayo hutamania maishani mwake. Wengine hupenda kuwa wahandisi, wafanyabiashara, waalimu na hata watu mashuhuri kwenye jamii.
Kwa jina ni Hezbon na lengo langu maishani ilikuwa ni kuwa Daktari kwani nilikuwa hata na nimehitimu kutoka katika chuo kimoja kikuu nchini Kenya ambapo nilikuwa nimesomea suala zima la kuwa Daktari.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464