JEREMIAH JOHN JILILI ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA SOLWA
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
Amechukua fomu hiyo leo Juni 28,2025 katika Ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini.
"Leo nimechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Solwa,na ninasubili taratibu zingine za kichama, na jina langu likirudi kati ya majina matatu nitazungumza zaidi,"amesema Jilili.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464