
Mbinu ya kuzishika fedha na kubakia nazo kwa muda mrefu
Ushawai kujiuliza kwanini watu wengine wanafanikiwa kimaisha huku wewe ukibakia fukara, yaani ni kama vile wewe sio binadamu au haufanyi bidii yoyote katika maisha yako wakati umekuwa ukijituma sana kwenye mambo mengi?.
Kuna watu ambao wamesoma na wana vyeti vya Degree na Diploma lakini hawajawai kufanikiwa kupata kazi yoyote lakini cha kushangaza wapo ambao hawakusoma kabisa ila wana kazi nzuri ajabu, ndivyo maisha yalivyo!.