` SERIKALI YAFUNGA KANISA LA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA

SERIKALI YAFUNGA KANISA LA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA

SERIKALI YAFUNGA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA LA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA

Serikali ya Tanzania imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima.

Sababu ya uamuzi huo wa Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ni kile kilichoelezwa, kanisa hilo limekiuka Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, kwa kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na wananchi.

SOMA ZAIDI CHANZO NIPASHE


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464