` BILA FEDHA HATA MKE WAKO MWENYEWE HAWEZI KUKUHESHIMU

BILA FEDHA HATA MKE WAKO MWENYEWE HAWEZI KUKUHESHIMU


“Bila fedha hata mke wako mwenyewe hawezi kukuheshimu”

Kushika fedha ni jambo la muhimu lakini bila jihudi zozote itakuwa vigumu kuishi maisha ya mazuri kama vile marafiki wako, kuna wengi wanaoishi maisha ya kifahari wanashindwa kuendelea, huku masikini wakiendelea kuwa masikini.

Hii inatokana kwamba masikini wengi wanakosa maarifa ya kupambana na umasikini huo, bila kuwa na mbinu ya ushindi utaendelea kusotea katika umasikini maisha yako yote.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464