` MWANAHARAKATI WA KENYA BONIFACE MWANGI AACHIWA HURU TANZANIA

MWANAHARAKATI WA KENYA BONIFACE MWANGI AACHIWA HURU TANZANIA


Mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi aachiwa huru Tanzania - Hussein Khalid
Mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi ameachiliwa huru na Tanzania, mkurugenzi mtendaji wa shirika la Haki Afrika aliiambia BBC.

Khalid alithibitisha kuwa wametoka Mombasa na sasa wanaelekea Nairobi.

Waziri Mkuu na Katibu wa Baraza la Mawaziri Musalia Mudavadi, awali alikuwa pia ametangaza kuachiliwa kwa mwanaharakati huyo ambaye alikuwa amekamatwa nchini Tanzania kwa siku kadhaa.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464