` MWANAFUNZI ALIYEITWA MCHAWI KWA KUFELI MITIHANI SASA NI DAKTARI ANAYEHESHIMIKA AFRIKA MASHARIKI

MWANAFUNZI ALIYEITWA MCHAWI KWA KUFELI MITIHANI SASA NI DAKTARI ANAYEHESHIMIKA AFRIKA MASHARIKI


Mwanafunzi Aliyeitwa Mchawi kwa Kufeli Mitihani Sasa Ni Daktari Anayeheshimika Afrika Mashariki

Nilikuwa kijana mdogo mwenye ndoto kubwa kutibu watu, kuvaa koti jeupe na kusikika nikitamkwa kama “Daktari.” Lakini miaka yangu ya shule iligeuka kuwa kaburi la matumaini. Nilifeli mitihani mara kwa mara hadi kufikia kiwango cha kuitwa mchawi.

Ndugu, walimu na hata baadhi ya wazazi wa wenzangu walinihusisha na ushirikina, eti kwa sababu ya matokeo mabaya yasiyoelezeka. Kila mara matokeo yalipotangazwa, jina langu lilikuwa miongoni mwa waliopata alama za chini zaidi.



Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464