` SIRI YA KUPUNGUZA UZITO NDANI YA SIKU 5 BILA MAZOEZI MAZITO

SIRI YA KUPUNGUZA UZITO NDANI YA SIKU 5 BILA MAZOEZI MAZITO

Punguza Uzito Kwa Haraka: Siri ya Kupungua Kilo Ndani ya Siku 5 Bila Mazoezi Mazito

Kwa muda mrefu nilihangaika na tatizo la unene kupita kiasi. Nilianza kuongezeka uzito nilipomaliza shule ya sekondari, na hali hiyo ilizidi nilipoanza kazi ya ofisini. Nilikuwa nakaa kwenye kiti masaa mengi, kula bila ratiba maalum, na kila mara nilikuwa nasema nitaanza mazoezi kesho. Lakini hiyo “kesho” haikuwahi kufika.

Nilijaribu kila mbinu unayoweza kufikiria. Niliwahi kulipia kozi ya miezi mitatu ya mazoezi kwenye gym lakini niliacha wiki ya pili kwa sababu ya uchovu na kukata tamaa. Nilitumia dawa kutoka maduka ya madawa, nikameza vidonge vilivyodaiwa kupunguza uzito haraka.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464