` ÀLINIPORA ARDHI YANGU SIKU YA KESI ALILIA MAHAKAMANI AKANIOMBA MSAMAHA

ÀLINIPORA ARDHI YANGU SIKU YA KESI ALILIA MAHAKAMANI AKANIOMBA MSAMAHA

Alinipora Ardhi Yangu Siku ya Kesi, Alilia Mahakamani Akaniomba Msamaha

Nilijua wazi kuwa ardhi ile ilikuwa yangu kihalali. Niliinunua kwa jasho langu mwenyewe baada ya miaka mingi ya kufanya kazi ndogo ndogo, kujiwekea akiba, na hatimaye kupata kipande hicho cha ardhi kando ya mto katika kijiji cha baba yangu.

Ilikuwa sehemu niliyoipenda sana, na ndoto yangu ilikuwa ni kujenga nyumba ndogo ya kupumzikia baada ya kustaafu kazi ya ualimu. Lakini mambo yalibadilika nilipopata taarifa kwamba kijana mmoja wa ukoo, ambaye sikuwa hata na ukaribu naye, alikuwa ameweka uzio na kuanza kulima kwenye ardhi yangu kana kwamba ni yake.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464