Aliyetoweka kwa miaka 17 hatimaye arejea nyumbani
Kaka yangu aliondoka nyumbani miaka 17 iliyopita akisema anaenda kutafuta maisha na atarajea kipindi mambo yatapomuendea vizuri lakini miaka ilizidi kukatika bila kurejea nyumbani na kibaya hakuwa kuwasiliana na sisi.

Wazazi wangu tayari walishakuwa wazee, walikuwa wakinituma sehemu mbalimbali niende kumuulizia na kutazama kama yupo huko lakini sikuwahi kufanikiwa.