` MWANAMKE ALIYETAKA KUJILIPIA MAHARI ATAPELIWA SH.10 MILIONI

MWANAMKE ALIYETAKA KUJILIPIA MAHARI ATAPELIWA SH.10 MILIONI


Mwanamke mmoja amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii kueleza jinsi alivyovunjika moyo baada ya kumsaidia mpenzi wake katika maandalizi ya kumlipia mahari lakini siku ya tukio lenyewe hakutokea.

Akitambuliwa kama Mamiena, mwanamke huyo alifichua jinsi alivyompatia kiasi cha Sh10 milioni ili kumsaidia mwanaume wake kulipa mahari hiyo kwa familia yake.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464