MAADHIMISHO YA MEIMOSI YAPAMBA MOTO SHINYANGA
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
Maadhimisho hayo kimkoa yanafanyika leo Mei 1,2025 katika Viwanja vya CCM Kambarage Mjini Shinyanga, huku kitaifa yakifanyika Singida.
Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi mkoani Shinyanga ni ni Mkuu wa Mkoa huo Anamringi Macha.
Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mei Mosi mwaka huu inasema "Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na maslahi ya wafanyakazi,sote tushiriki.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464