Header Ads Widget

MBUNGE AHOFIA NG'OMBE KUVISHWA SHANGA KIUNONI


Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby wakati akichangia taarifa za Kamati za Bunge za Uwekezaji mitaji (PIC), Hesabu za serikali za Mitaa (LAAC) na Hesabu za umma ((PAC) bungeni leo Jumanne Februari 7,2023. Picha na Said Khamis.

Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema inakoelekea Serikali itazivisha ng'ombe shanga za kiunoni.

Kauli hiyo imetolewa Jana  wakati mbunge huyo akichangia taarifa za Kamati za Bunge za Uwekezaji mitaji (PIC), Hesabu za serikali za Mitaa (LAAC) na Hesabu za Umma ((PAC).

Shabiby amesema kuna upigaji mkubwa unaofanywa na watu aliosema wanafahamika na ndiyo wanapunguza kasi ya Rais katika Utendaji kazi wake ambao ni mzuri.

Soma hapa zaidi Chanzo Mwananchi

Post a Comment

0 Comments