Header Ads Widget

RAIS SAMIA ALISEMA JESHI LA POLISI

Rais Samia aichambua magereza, jeshi la polisi ‘linavyooshewa kidole’
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi za utoaji haki nchini ambayo inanyooshewa sana vidole, kulalamikiwa na wananchi juu ya rushwa kwa kupindisha haki na kuchepusha sheria.

Amesema watu 70 kati ya 100 utakaozungumza nao nchini wanalilalamikia jeshi la polisi kwa namna linavyofanya kazi huku akibainisha watu wasio na nyadhifa ama fedha wanapata tabu kupata haki zao.

Rais Samia ameyasema hayo leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu, Chamwino jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini.

SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments