Header Ads Widget

NAIBU WAZIRI KATAMBI AZINDUA MPANGO WA MAJUKWAA YA WANAWAKE NA WASICHANA WENYE ULEMAVU



Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobass Katambi amezindua Mpango wa Majukwaa ya Wanawake na wasichana wenye ulemavu, Katika Hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Leo Oktoba 20, 2022.
























Post a Comment

0 Comments