Mama mwenye nyumba ananitaka kimapenzi, nifanyaje?
Unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa ananitaka kimapenzi.
Jina langu ni Julio, kijana wa miaka 25 ambaye najishughulisha na Ujasiriamali hapa jijini Dar es Salaam, kutokana na mazingira ya kazi yangu nimekuwa natoka nyumbani asubuhi mapema na kurejea usiku. Nakumbuka kuna siku katika pilikapilika zangu ndani ya jiji, nilipumzika sehemu nikawa najisomea gazeti, nikakutana na tangazo la Dr. Kiwanga ambalo lilieleza miongoni mwa huduma anazotoa ni pamoja na kuongeza mvuto wa kimapenzi.
Nilitamani sana kujua mtu mwenye mvuto wa kimapenzi anakuwaje, hivyo niliamua kuchukua namba yake ambayo ni +254 769404965 na kumpigia. Nilimwambia kuwa nahitaji huduma hiyo. Akaniambia nisiwe na wasiwasi kwani ndani ya siku tatu nitapata matokeo mazuri ajabu maishani mwangu.
Kesho yake wakati nimerudi nyumbani nilimkuta mama mwenye nyumbani ameketi nje, aliniambia siku hiyo nisipike kwani kwake amepika chakula kingi sana, hivyo nitaenda kula kwake baada ya kuoga. Nilipomaliza kuoga nilienda kugonga mlango wake, alipokea na kuniambia siku nyingine nikitaka kuja wala nisigonge bali niingie tu.
Nilikaa kwenye sofa na akaniletea chakula, cha ajabu alikuja akaa pembeni yangu, wakati nikila akawa ananipapasa mgongoni, mara akaniomba anivue shati kwa madai joto limezidi ndani na anaona mwili wangu umechemka sana. Nilimwambia haina shida kwani namalizia kula nitatoka nje kwenye upepo.
Baada ya kumaliza kula sikutaka kuendelea kukaa pale ndani, nilitoka nje huku yeye akinisistizia niendelee kuwa naye maana hana hata mtu wa kuzungumza naye. Sikujali hilo nilitoka na kwenda kwenye chumba changu na kuchukua maji nikaenda kuoga tena ili niweze kulala. Nilipotoka kuoga nilikuta SMS yake kwenye simu akiniambia kuwa ananipenda na angependa kama nitamkubalia niwe mpenzi wake, aliomba sana nisije kumkatalia kwani yeye hajiwezi tena kwangu.
Niishiwa nguvu na kujiuliza maswali mengi, nilimjibu kuwa nina mpenzi wangu tayari. Aliniambia yeye atakuwa ananipa fedha za matumizi na chochote nitakacho, kikubwa zaidi nitakuwa naishi katika nyumba yake bila kulipa kodi, hilo ndilo limenichanganya sana maana nahitaji fedha hizo.
Kiukweli huyu mama mwenye nyumba ni mzuri sana na mkarimu, mwenyewe natamani sana kuwa naye ila ndio hivyo nina mpenzi wangu ila hizi ahadi alizonipa ukichanganya na uzuri wake nashindwa kumkatalia moja kwa moja. Vijana wa mjini huwa wanaiita hii ni zali la mentali, leo limenitembelea nami, naweza nikimkubalia na mpenzi wangu akaja kugundua itakuwaje maana huyu mama mwenye nyumba siwezi kuja kumuoa wala yeye hawezi kukubali kuolewa na mimi. Je, fanyaje?, naombeni ushauri.
0 Comments