Header Ads Widget

KATAMBI ASHIRIKI KUHESABIWA SENSA YA WATU NA MAKAZI, ATOA UJUMBE HUU KWA WATANZANIA


Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu, akishiriki zoezi la kuhesabiwa Sensa ya watu na makazi, kwenye Makazi yake Kata ya Oldshinyanga (kushoto) ni Karani Simoni Samweli akichukua taarifa zake.

Katambi akizungumza mara baada ya kumaliza kuhesabiwa Sensa ya watu na makazi leo Agost 23, 2022, amesema
Upo umuhimu wa kila mmoja kuhesabiwa ili Taifa lijue linahudumia watu wangapi na kukidhi matakwa ya wananchi kuirahisishia Serikali kutekeleza majukumu yake.

Post a Comment

0 Comments