Header Ads Widget

CHADEMA YAWEKA PINGAMIZI MAOMBI MAPYA YA KINA MDEE, MAHAKAMA YATOA AMRI HADHI YA UBUNGE WAO IBAKI KAMA ILIVYO


Chadema imewawekea pingamizi akina Halima Mdee na wenzake katika maombi yao, ya amri ya muda ya mahakama kuizuia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Spika wa Bunge kuwavua ubunge baada ya chama hicho kuwavua uanachama.
Pingamizi hilo la Chadema litasikilizwa Jumatano Juni 29, 2022 mchana.

Hata hivyo, Mahakama hiyo imetoa amri ya kuwa hadhi ya wabunge hao ibaki kama ilivyo mpaka siku ya usikilizwaji wa pingamizi hilo la Chadema.
 
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments