Header Ads Widget

WATOTO 19 WAMEUAWA KWA KUPIGWA RISASI SHULENI AKIWAMO MWALIMU


Watoto wadogo kumi na tisa na watu wazima wawili wamepoteza maisha kwa kupigwa risasi katika shule ya msingi kusini mwa Texas baada ya mtu mwenye silaha kufyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb katika jiji la Uvalde kabla ya kuuawa na vyombo vya sheria, maafisa walisema.

Mbali na kuuawa kwa watoto wadogo kumi na tisa, watu wazima wawili wameuawa akiwemo mwalimu.
 
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO BBC SWAHILI.

Post a Comment

0 Comments